Dada Poa Arusha Wanapatikana Kona Zipi

Dada Poa Arusha Wanapatikana Kona Zipi

dont do lyk this.
kama una mke,usimsaliti kisa upo safarini.
na kama hauna mke wala mpenzi basi angalia shughuli iliyokupeleka Arusha,achana na biashara hiyo.
 
Nenda kanisa lolote linalohubiri WOKOVU watakuonesha utakapo pata amani ya kweli na utoshelevu wa kweli. Mie nilienda huko na sasa sina kiu ya uzinzi tena. Nimepona kabisa na bado hiyo dawa ipo na inatolewa bureeee
 
Bends ceti garden karibu name stendi ya dar express. Pia cheki pale mitaa ya stendi za Kilimanjaro kwa nyuma take wapo kibao ILS mida no kuanzia tank usiku.
 
Nisaidieni mwenzenu nawatafuta dada poa hapa Arusha nitawapata kraal gani?

Dah, una moyo! Siku moja bana mimi na njaa zangu ugenini, nimebanwa hasa, nikatoka zangu nikaround mitaa nikaenda kuopoa dada poa. Sh ngapi, faster buku20...mi sina bana nina buk tano tu hapa nataka nikasimamie show ya fasterfaster, buku tano nomer bana, labda uende palee mtaa wa pili utapata hata wa buku...hapa bei ya mwisho buku 10! Basi tukakubaliana buku 10 mtoto mzuri tu maskini wa mungu. Kufika ndani mashine yenyewe ikanywea.....kila nikivuta stimu nikija kukumbuka niko na changudoa mashine inaghairi kabsaa, akiishika kuibembeleza inasimama dede nikikumbuka kuna mtu nataka kumsalito tu mwili unapiga paaah mashine inanywea tena! Nikaona isiwe tabu, nikachomoa buku ten nikampa nikamwambia nenda zako bana....!! Alivoondoka tu kitu kiarudia hali ileile ya mwanzo, hakitaki kulala kimesmama dede mpaka kinauma, nikaona isiwe tabu, bafuniiii! KUANZIA SIKU HIYO SIJAJARIBU TENA CHANGU!
 
Arusha si kama dar mkuu,..wanataka us dollar...unazo_usijekuwa na vijisenti vya per diem za serikali then unakuja kichwa kichwa,...anyway_karibu..sema utakuwepo mpaka lini..?
 
wewe mkeo kakuloga ndio maana ulishindwa.
 
Arusha si kama dar mkuu,..wanataka us dollar...unazo_usijekuwa na vijisenti vya per diem za serikali then unakuja kichwa kichwa,...anyway_karibu..sema utakuwepo mpaka lini..?

He, mkuu vipi, na wewe unajipanga kule sku hizi?
 
Bends ceti garden karibu
name stendi ya dar express. Pia cheki pale mitaa ya stendi za
Kilimanjaro kwa nyuma take wapo kibao ILS mida no kuanzia tank
usiku.

unaweza ukashiriki mauaji indirectly..
so bad.
 
Umeona eeh? Labda amebanwa sana bana!

Kama kabanwa anashindwa nini kumchukua msichana makini wa hapa town,...sema atakuwa domo zege huyu...watu mbona tukienda mikoani/ugenini tunachota masister duuh wazalendo kabisa.
 
pole wewe kaka mtafuta dada poa......wapo wengi na taka utakavyo kwani dhambi inayokutawala ndiyo itakayokuuwa. dada poa wamejaa mitaa yote ya jiji la Arusha ila hutegemea unataka dada poa wa bei gani? wapo kuanzia laki 7(VIP) hadi jero(YEBOX2). so sema unataka wa bei gani ili dhambi inayokutawala ikumalize kabisa. hakika hutainuka. Huyo dada poa utafia kifuani mwake. itakuwa aibu ya mwaka.
 
Hahahaa, hamna kitu mwanangu...angeniroga ingekuwa inagoma hata kwa kale kampango kangu ka kando pale Moro! teh teh

ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_H1N1,eiyer & co...wanakutafuta mkuu
 
Kama kabanwa anashindwa nini kumchukua msichana makini wa hapa town,...sema atakuwa domo zege huyu...watu mbona tukienda mikoani/ugenini tunachota masister duuh wazalendo kabisa.

Hahaha, ukute skejo yake iko taiti vibaya, hivyo anakosa hata muda wa kusoshalaizi!
 
pole wewe kaka mtafuta dada poa......wapo wengi na taka utakavyo kwani dhambi inayokutawala ndiyo itakayokuuwa. dada poa wamejaa mitaa yote ya jiji la Arusha ila hutegemea unataka dada poa wa bei gani? wapo kuanzia laki 7(VIP) hadi jero(YEBOX2). so sema unataka wa bei gani ili dhambi inayokutawala ikumalize kabisa. hakika hutainuka. Huyo dada poa utafia kifuani mwake. itakuwa aibu ya mwaka.

wako wapi hao wa laki saba hapa arusha....mmmh
 
Back
Top Bottom