functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 794
Habari za muda huu wadau; bila kupoteza muda niende kwenye mada! katika pitapita zangu wikiendi iliyopita nikabahatika kuopoa dada poa bei yake haikuwa mbaya sana nililala naye usiku mzima kwa sh elfu 10,000 tu, na kwakuwa nilikuwa nimelewa sana sikukumbuka hata kutumia kinga.
Cha ajabu asubuhi hataki niondoke anadai hajawahi kukutana na mwanaume anaejua mapenzi kama mimi, kwahiyo anataka nimuoe. Kiukwel amenipenda sana maana ananipigia simu kila mara, anasema nisipomuoa atajiua.
Kwahiyo wadau nipo njia panda, nimkubalie au nikatae? Naombeni ushauri wana jamii wenzangu.