ngonzi zomukama
Senior Member
- Apr 13, 2010
- 170
- 6
pia ameniambia anatafuta kazi kwa nguvu zote ili aache pale na ili apotee machoni pa yule boss, na pia ameniahidi kuwa atamueleza ukweli kuwa alifuata kazi pale na si mapenzi na sio kwamba alishindwa kumjibu vile mapema ila alikuwa anachelea kazi yake ila sas hv anajihisi mwenye nguvu baada ya ushuri wenu na jasiri na akasema kwakuwa anatetea ndoa yake mungu atamsimamia.
kiraisi hivyo mmmh
kiraisi hivyo mmmh
Ahsante kwa feedback.Lakini mbona kalainika kirahisi vile? Gud.
akili za za kuambiwa changanya na za kwako (mbayuwayu)What did you guyz expect!? Mlitaka agomee? Its her her LIFE vs DEATH
mmmh! FUNZADUME cjui ulitakaje lkn me nadhani hapo ameambiwa na akachanganya na zake na akachekecha akaona wapi ni bora sasa cjui ulitaka akatae ushuri wa wengi ndo ungeona sio rahisi? au ndo unge furahi?akili za za kuambiwa changanya na za kwako (mbayuwayu)
Mimi napenda watu wa namna hii mnaotoa shukrani baada ya kufanikiwa katika jambo fulani. Mpe dada BIG UP!
kitu kimoja tu aliniahakikiashia atalirudisha lile gari kwani alikuwa haja anza hata kulitumia lilikuwa limepaki pale ofcn pia ameniambia anatafuta kazi kwa nguvu zote ili aache pale na ili apotee machoni pa yule boss,
Mimi naomba nisome katikati ya mistari...........amepewa gari na imepaki ofcn, watu wanaiona tuu!! angeanzaje kuitumia?
Pili, anatafuta kazi ili asiwe anamuona huyo boss machoni??¬¬¬ that means akimuona machoni analegea kwishinei au???
USHAURI: anatakiwa akate ushauri wa kuachana na huyo jamaa!! inaonekana wanakulana kama kawa!! swala la ku-avoid kumuonana uso kwa uso ni matamanio yake tu amabayo hayaonyeshi dhamira ya kuachana nae.
USHAURI: anatakiwa akate ushauri wa kuachana na huyo jamaa!! inaonekana wanakulana kama kawa!! swala la ku-avoid kumuonana uso kwa uso ni matamanio yake tu amabayo hayaonyeshi dhamira ya kuachana nae.