matimbanyula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 268
- 120
Weka namba yake na ya mchumba wako hapa tuone jinsi ya kukusaidia mtanzania mwenzetu.
Weka namba yake na ya mchumba wako hapa tuone jinsi ya kukusaidia mtanzania mwenzetu.
Umesema una mchumba kwa hiyo tulia na huyo mchumba wako bro....!!! wapita njia tu hao watakuharibia maisha yako.Wana jf nishaurin hili dada mwenye nyumba kaonyesha kudata na mim tatizo ni kwamba nina mchumba naye huja nyumbani kwangu kila mwisho wa wik nifanyaje na huyu dada na ametamka yupo tayar ku share lakin hapa nyumban kunampangaji mwingime msichana naogopa anaweza kumsimulia mchumba nifanyaje