Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,468
- 40,825
Na kwanini umeusoma?! Si ungeishia kwenye jukwaa la great thinkers?!Huo umbea peleka kwingine.
Hapa hatu discuss umbea wa kike.
Kwendra huko
Haya mamaHuo umbea peleka kwingine.
Hapa hatu discuss umbea wa kike.
Kwendra huko
Jamaa alilipeleka ngazi ya familia yule wifi mtu akakiri ni kweli aliongea hilo na alimwambia usije kumwambia kaka iwe siri yaoHuyo mwanamke Ni mchonganishi. Katunga uongo ili awagombanishe mtu na dada yake. Jamaa ameingia kwenye ulaghai.
Yaani tatizo badala washkuru wapo kwenye ndoa wapeane ushauri unaojenga familia zao wao wanafanya kinyume.Wanawake wakikosa kazi ndo story zao izo
Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia w
FearlessFighterNa kwanini umeusoma?! Si ungeishia kwenye jukwaa la great thinkers?!
Huyu mke wetu anasema yeye alimuambia amekuta meseji za wanawake kwenye simu ya best angu sasa akawa anamdisia wifi yake ndio akakutana na ushauri huo wa kubomoaMtu hawezi kuibuka tuu kukupa ushauri wa kutafuta mchepuko wa kukutuliza moyo kama hajui moyo wako haujatulia?! Hao ni mashosti na lazima wanajuana na wanajua jinsi ya kukukama
green rajab Inawezekana kabisa huyo mke wenu anachepuka haswa sasa anahitaji kujisafisha
Poleni mwayego
Hayo mambo yapo sana siku hizi wala sishangai. Nimeshashuhudia Mama Mkwe anamtafutia mabwana Mwali wake ambae ni Mke wa Mtoto wake wa Kiume.Huyo mwanamke Ni mchonganishi. Katunga uongo ili awagombanishe mtu na dada yake. Jamaa ameingia kwenye ulaghai.
Hatari sana aiseHayo mambo yapo sana siku hizi wala sishangai. Nimeshashuhudia Mama Mkwe anamtafutia mabwana Mwali wake ambae ni Mke wa Mtoto wake wa Kiume.
Iyo kwendra yenyewe ulivo andika ndio ukike wenyewe bora hata ya mleta mada๐๐Huo umbea peleka kwingine.
Hapa hatu discuss umbea wa kike.
Kwendra huko
Huyu mke wetu anasema yeye alimuambia amekuta meseji za wanawake kwenye simu ya best angu sasa akawa anamdisia wifi yake ndio akakutana na ushauri huo wa kubomoa
Kwavile ni wewe basi basi"