Kuna msemo sahihi unaosema MLAUMU MTU ILA USILAUMU JINSIA YAKE.
WAPO WENGI TUU. TUNAOWEZA KUAPA KWA VITABU VYA DINI.
Simu zinawekwa password kwa mambo mengi. Mle zipo dili za pesa ndefu, wizi, uuaji nk. Tatizo wanawake wanafikiria kuchepuka tuuuuuu.
Sent using
Jamii Forums mobile app