Yaani nikuoe, nikugharamikie kila kitu hadi mafuta ya kuendea kazini, uwaache wanangu walelewe na mfanyakazi, mimi nitunzwe na mfanyakazi halafu tena zako ziwe zako?? you cant be serious anyway... Ni nini unafuu wa sisi kutunzwa na dada wa kazi ili wewe uende kazini?
Kaa nyumbani unilele wanangu na mimi nikirudi kukuhangaikia nipate walao wa kunifariji na kunitia moyo.. sio nimerudi na stress zangu za kazi ama biashara na wewe unazo hivyo hivyo halafu mwisho wa siku unachokifanya hakionekani impact yake kwenye familia... Kwa nini nikuruhusu uende kazini if that the case? Huo umoja tunaouhubiri ni upi?.... Jidanganyeni tu huko uraiani. Wakuu
Mr Rocky,
watu8,
BAK hali kwani ikoje maaana sisi vijana wa zamani ilikua tofauti sana na leo
Mwanaume ni Kicha cha Nyumba, msikieni yeye. Maandiko yanamsema kama Mtawala wa mwanamke (si unajua kuna tofauti ya mtawala na kiongozi sio) nyie leteni za kuleta tutumie rungu letu... Hahahahaaaa... Am kidding anyway.