Dada katoa dongo la ukweli kwa wanaume

Wanawake na nyie mjitahidi walau kuongeza uelewa na upeo wa mambo mbalimbali. Kucha kutwa mnasoma magazeti ya udaku tu, sijui nani kafumaniwa, huyu kafanya vile. Ukiulizwa hata jambo dogo tu la kisaisa au kiuchumi haujui kitu. Unajua wasanii tu tena wa bongo movie. Hayo si maisha. Wanaume siku hizi tunapenda wanawake wenye upeo wa mambo mbalimbali, local politics, international politics, uchumi, world sports, technology n.k. Yaani unatoka na mwanamke ana kutia aibu, kila mada mkiongelea kimya tu, kila mada kimya. Mkiongea kuhusu wasanii wa bongo movie, utafikiri amewekea cd mdomoni.

Wanaume tunataka mwanamke ambaye anatambue ulimwengu unavyokwenda. Mnatia aibu sana nyie. Wengine wasomi kabisa lakini general knowledge kichwani hakuna kabisa. Someni magazeti na vitabu mjifunze vitu.
 
ah na mwanamke nae apanue papuchi zama za oh mie mke wako hamna unato.mbwa na kupewa pesa basi.

kama wataka kuhudumiwa basi kuwa wife material...na sheria namba moja ya wife material ni kuwa na plasta
 
ah na mwanamke nae apanue papuchi zama za oh mie mke wako hamna unato.mbwa na kupewa pesa basi.

kama wataka kuhudumiwa basi kuwa wife material...na sheria namba moja ya wife material ni kuwa na plasta

Hiki sasa kisasi hivi wanao watoa wanawake plasta ni akinanani?
 
wanawake wanapenda sana kuwa watumwa eti kisa pesa!,
 
The stupidest comment, wanawake wamejanjaruka halafu wanaangalia mwenye pesa? Kwanini wasitafute zakwao?

Aisee...!! Unakunywa kinywaji gani weekend hii uogelee....!!

Best comment ever
 
Mnatuambiaje kwa sie ambao tuna six pack, shule na vnot vya kututosha na hatuhongi manyang'au
 
Hahahahaaaa... na nyie tafuteni zenu... Allaaaaaahhh!!! Kila saaa hela hela hela... fursa sawa kwa wote bhana..

Balaa hill yan wee tafuta as much as can zangu ni zangu zako ni zetu hahahaaaaaaa
 
Ila hii dunia nzuri sana siku hizi. Wacha tuenjoy kabla mambo hayajabadilika...
 
kwa akili hizo wanawake hawawezi watabaki kuwa tegemezi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…