Asante Mkuu, anaitwa Hilda Emanuel na Mumewe anaitwa Oscar Didas Kwai.Umeandika vyema lakini umesahau jina lake na la mume wake kwa utambulisho. Picha yake siyo clear lakini jina lake linaweza kusaidia kumtambua.
Asante mkuu, hajagombana na mumewe, hatujui ni kitu gani kilimkumba na kuondoka nyumbani. Kaacha mtoto wa miaka miwili mkuu!Dah! Poleni sana aisee.
Ila amini kabisa kama hayuko kwa ndugu zake wengine kwa kuwa wamekosana na mumewe; basi ameshatoroshwa na mwanaume mwingine.
Hata sisi hatujui nini kilimkumba mkuu!Mtu mzima anapoteaje?
Mkuu tuache masihara, tupo siriasi mkuu....Mkuu,mbona naona kama ni Wolper au Uwoya wa Bongo movie?
Hajapotea huyo atakuwa mahali salama anapika,anapakua na kutandka kitanda!
Hata sisi hatujui nini kilimkumba mkuu!
Mkuu sasa hivi tunamtafuta, tukianza kuulizana nani mwenye makosa naona haitasaidia kwa sasa (jambo lenyewe lipo polisi), cha msingi ni kumpataAtakua katoroka ama katoroshwa.Ama kuna mambo hayako sawa.mnamtesa ama.Lazima atakua na sababu zake za msingi.Na nyie huenda mnazijua
Kama mmelileta hapa basi jua kulijadili ni haki.Na tukitumia weledi tutajua mengi.Na inawezekana kuna watu watachukuliwa hatuaMkuu sasa hivi tunamtafuta, tukianza kuulizana nani mwenye makosa naona haitasaidia kwa sasa (jambo lenyewe lipo polisi), cha msingi ni kumpata
Hujajibu swali la huyu mdau je ana tatizo lolote kiakili?Kapotea?
Ana tatzo lolote la kiakili?
Aliacha ugomvi nyumbani?
Mnahisi katekwa? Kwa nini?