ndiyo matatizo ya watu kuitwa dr bila kuwa na sifa za kuitwa dr mara dr. Kikwete yale yale!
N.B: Nimeiweka hapa kwenye siasa, maana Tz kila kitu ni siasa tu!
Nimekuwa na rafiki zangu wazalendo kuliko mimi (kama watatu) ambao wamekutana na mama huyu pale Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Kama kawaida ya mama huyu wote walikuwa wakifika ofisini kwake wanaishia kuondoka wamekwazika, bila kujali malengo yao thabiti ya kuanzisha hospitali na vituo vidogo vya afya nchini Tanzania, kwa lengo la kuboresha maisha ya mtanzania. Hawa ni watanzania ambao wametumia mali zao ili kufungua vituo vya afya nchini, biashara ambayo kwa hakika si ya kuaminika kwa nchi yetu ya Tanzania lakini wakiwa wanaongozwa na dhamira njema ya kusaidia wenzetu nyumbani wamethubutu kujaribu (Mmoja Marekani, mwingine Afrika Kusini, na wa mwisho yupo nyumbani Tanzania). (Tunamshukuru Mungu ndugu zangu hawa wote wamepata usajili baada ya kusota kwa miezi kadhaa wakisubiri kupata usajili).
Naambiwa Dr. Pamella Sawa ni Msajili wa Vituo vya Afya Binafsi na Umma wizara ya Afya. Kitengo ambacho kwa hakika kimekuwa kinazidi kufungia vituo vya watu binafsi kwa maelekezo kwamba havijatimiza vigezo wakati huo huo wakiviacha vituo vya serikali visivyohitajika hata kuwapo kwa jinsi visivyokuwa na sifa za kutoa huduma kwa wananchi.
Kitengo hiki kimekuwa kikipokea rushwa nyingi wawapo kuchunguza utendaji kazi wa vituo vya afya Tanzania, na mara zote wamekuwa wanatengeneza mazingira ya rushwa hata kama huna kosa.
Mtanzania msomi, Dr Pamella anasifika sana kwa kuheshimu raia wa kigeni hususani wahindi wenye vituo vyao vya afya nchini kwetu, huku akiwadharau Watanzania vijana kwa wazee ambao wanajitolea kutoa huduma kama hiyo. Ni mara nyingi utaona mhindi anaruhusiwa kuingia ofisini kwake bila kusubiri foleni ya watanzania waliokaa nje ya ofisi yake.
Ukiingia ofisini kwa Dr. Sawa (Yameshawahi nikuta wakati namsindikiza jamaa yangu kufuatilia usajili wa hospitali yake) utapokelewa kwa moyo mkarimu na wasaidizi wake ambao pia hawaishi kunyanyaswa na dada huyu mrembo lakini ghafla ukashangaa anakutoa kwa ukali kwa kisingizio cha kwamba wana mkutano au subiri mtu mwingine atoke (japo kuna watu zaidi ya watatu wanaotoa huduma katika ofisi yake).
Dr. Sawa anasifika kwa maneno makali ambayo baadhi ya nyakati huleta aibu kwa watanzania wanaoingia ofisini kwake. Watumishi wengi wizara ya afya ambao wanahitaji huduma katika ofisi yake huenda kuongea naye kwa woga mkumbwa utadhani yeye ni Simba, ingawa ana umbile dogo na lenye mvuto.
Wengine wanadai kwamba ati Sawa hutumiwa na baadhi ya rafiki zake kutoruhusu kupitisha maombi ya watu wengine wanaonekana ni hatari kwa vituo vingine vya afya kuendelea kupata wateja (sina uhakika maana maombi hupitishwa na board, ingawa yeye huhusika na hatua zote za kupitia maombi na pia ana nguvu sana kikaoni).
Tunashukuru serikali kutoa fursa sawa kwa wote, maana hata mwanamke msomi kama huyu anaweza kupata nafasi nzuri wizara ya afya makao makuu bila shida yoyote, lakini mambo anayowafanyia watanzania wenye moyo safi wa kutaka kuisaidia jamii yetu yanamfanya aonekane asiyefaa na kwa kweli anatakiwa ajirekebishe haraka.
Kama ni tabia zake za asili basi ajitahidi kuziweka kando pindi awapo kazini.
Lakini Tutafika tu!!!
Huyo Dr. Pamela hana kitu wala hasiwababaishe. Na sijui huo udaktari kaupatapataje huko Russia maana form 4 hapa Tanzania alipata division zero. Siku nyingine ukienda muulize jina lake la ukweli. Jina lake haswa ni Lulu Sawa; amesomea Muhimbili P/School na alikuwa anakaa Ocean Road, pale Sea View. Baade akaenda either Mzizima Secondary au Shaaban Robert. Yawezekana alichakachukua vyeti vya form 4 na 6.
Tatizo la Tanzania mtu akishakuja na cheti cha nje wanamshobokea na kumpa cheo kikubwa bila kuangalia background yake ikoje.
Wanawake badilikeni. Mnapopata nafasi nzuri onyesheni kwamba tunaweza na hamkupewa kwa upendeleo. Inanisikitisha sana kila mara wanawake wenye madaraka kulaumiwa kwa utendaji wao. Hebu tujirekebishe ili ile fursa sawa ionekane.
Dawa yake ni kumpiga mti tu.
Je na hapo tutamlaumu JK? Maana huyo mwana dada Dr, is an individual ambaye amepewa dhamana na serikali, watanzania inabidi yubadilike kwanza as individual ndiyo tuikosoe serikali, bila hivyo anayepata rungu atapiga kila mahali, na mwingine akipata naye analipiza kisasi.
Hapa sijui kipi ni kipi? sasa hivi ni excuse hospital ya binafsi kutoa huduma substandards eti tu kwa sababu zile za serikali ni chakavu zaidi ? pia nyingine eti ni za hawa wachina nao wanajiita 'hospitali' wakati hawana MDs..hatuezi kwenda staili hiyo wajameni. Sheria zipo kuboresha huduma ya afya, si kuchukua standards za hovyohovyo. Pia kama mhusika anayotoa usajili kama unaona anakunyanyasa bila sababu za msingi, nina hakika anaye bosi wake, document ishu yako na ongea na bosi wake umsikilize atakwambia nini, la sivo huu uzi nahisi ni majungu tu.
Tatizo la nchi yetu ni kwamba tumefanywa tuamini kwamba ofisi za serikali hazipo kwa ajili ya kutuhudumia sisi, bali zipo kwa ajili ya ku-exercise authority juu yetu.
Ni lazima tubadili huu mfumo ili hao wanaokalia viti kwenye ofisi za serikali wajue kwamba wapo pale kwa ajili ya kutuhudumia sisi na si vinginevyo.
Huyo Dr. Pamela hana kitu wala hasiwababaishe. Na sijui huo udaktari kaupatapataje huko Russia maana form 4 hapa Tanzania alipata division zero. Siku nyingine ukienda muulize jina lake la ukweli. Jina lake haswa ni Lulu Sawa; amesomea Muhimbili P/School na alikuwa anakaa Ocean Road, pale Sea View. Baade akaenda either Mzizima Secondary au Shaaban Robert. Yawezekana alichakachukua vyeti vya form 4 na 6.
Tatizo la Tanzania mtu akishakuja na cheti cha nje wanamshobokea na kumpa cheo kikubwa bila kuangalia background yake ikoje.
Mwekezaji Mzawa, jina la Lulu umepatia ndilo jina lake la primary, mimi nimesoma naye primary na sio Muhimbili!.Huyo Dr. Pamela hana kitu wala hasiwababaishe. Na sijui huo udaktari kaupatapataje huko Russia maana form 4 hapa Tanzania alipata division zero. Siku nyingine ukienda muulize jina lake la ukweli. Jina lake haswa ni Lulu Sawa; amesomea Muhimbili P/School na alikuwa anakaa Ocean Road, pale Sea View. Baade akaenda either Mzizima Secondary au Shaaban Robert. Yawezekana alichakachukua vyeti vya form 4 na 6.
Tatizo la Tanzania mtu akishakuja na cheti cha nje wanamshobokea na kumpa cheo kikubwa bila kuangalia background yake ikoje.
Mwekezaji Mzawa, jina la Lulu umepatia ndilo jina lake la primary, mimi nimesoma naye primary na sio Muhimbili!.
Primary alikuwa bright hivyo kwa vile umesema uwongo, hakusoma Muhimbili, then pia itakuwa ni uongo hakupata Div 0!.
Kiukweli huyu dada ni no nonsense lady!. Tangu primary yuko very strict!. The fact she is a striking beautiful, watu wanamungia as if taking her for a ride or for granted!.
Inawezekana akawa hivyo mnavyodai ila kupitia TV nimeona, hivyo vituo vilistahili kufungwa!.
Tukirudi kwa wahindi, tukubali tukatae, they are snarter!. Wamejenga trust ya hali ya juu kila kona!. Benki zetu, wao wanapewa mikopo bila collateral na wanarudisha!. Hospitali zao Agha Khan, Regency, Hindu Mandal na TMJ ndio top in town, nimelazwa Moi eti kipimo cha MRI lazima niende Regency!. Hata viongozi wetu tunawatibu nchini kwao!.
Huyu Dada ni Dr wa ukweli anayezingatia sheria, taratibu na kanuni za usajili!. Tatizo letu wabongo tunapenda sana short cuts na mambo ya ujanja ujanja ambayo Lulu hayakubali!.