Sijambo Chuakachara...habari za siku?Hujambo Ynnah
HUMAN TRAFFICKING????????Habari zenu wana jf , nimatumaini yangu kuwa muwazima..
Kwa yeyote mwenye uhitaji Wa mfanyakazi wa nyumbani ani pm. Nitamletea.. Ni waaminifu na wachapakazi . mkoa wowote ule ulipo utaletewa...
Mshahara kuanzia 50000 na kuendelea kulingana na ugumu wa kazi ulizonazo.
Mashariti ni kwamba ukimtesa na kumnyanyasa kama wanavyofanya watu wengine nitakuchukulia hatua za kisheria dhidi ya kitendo ulichofanya.
Aksanteni naomba kuwasilisha
Nzuri za siku nyingi. Vipi Darkcity mnawasiliana. Uko wapi . Karibu kwetu!Sijambo Chuakachara...habari za siku?
Nzuri za siku nyingi. Vipi Darkcity mnawasiliana. Uko wapi . Karibu kwetu!
Na kwa taarifa tu siyo watoto wadogo ni wadada na wakaka kuanzia miaka 18.kwwnda juu na baadhi yao ni wanaujuzi na uzoefu wa kazi hiyo...
akitoroka namapata wapi?Haitatokea kiongozi... Kwani hataruhusiwa kuacha kazi kabla mwaka haujaisha.. Kwani mkataba ndo kila kitu.. Vinginevyo kuwepo na sababu muhimu zisizoepukika . hivyo kuwa na amani mkuu
Ok, nami niko Tanga, nakumbuka tulikutana kwenye msiba .... zamani kidog.Nipo tanga mie....karibu.
YNNAH, I have a terrible experience with these people from the same Kigoma. It happened that way and no house girl was received after sending 100,000 Ths as bus fare from Kigoma, be careful!Toa basi namba yako...
wengi wa Hawa watu wanafanya biashara anamleta kwako unalipa ujira wake kesho ukirudi humkuti. Ukimpigia simu anadai kusikitika ila anakuhaidi kuleta mwingine. Kabla hujasituka Fedha inateketeaMmmmh
YNNAH, I have a terrible experience with these people from the same Kigoma. It happened that way and no house girl was received after sending 100,000 Ths as bus fare from Kigoma, be careful!
Ok, nami niko Tanga, nakumbuka tulikutana kwenye msiba .... zamani kidog.
Yes kwa yule dada wa kihaya alikuwa amefiwa na mtoto (nimemsahau). By that time ulikuwa Lushoto, I remember. Karibu Tanga.Yeah! .Tulikutana msibani korogwe
Wadada wa kazi ni shidaWe
wengi wa Hawa watu wanafanya biashara anamleta kwako unalipa ujira wake kesho ukirudi humkuti. Ukimpigia simu anadai kusikitika ila anakuhaidi kuleta mwingine. Kabla hujasituka Fedha inateketea