Dada au kaka wa kazi wapo

Dada au kaka wa kazi wapo

LAMU

Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
51
Reaction score
19
Habari zenu wana jf , nimatumaini yangu kuwa muwazima..

Kwa yeyote mwenye uhitaji Wa mfanyakazi wa nyumbani ani pm. Nitamletea.. Ni waaminifu na wachapakazi . mkoa wowote ule ulipo utaletewa...
Mshahara kuanzia 50000 na kuendelea kulingana na ugumu wa kazi ulizonazo.

Mashariti ni kwamba ukimtesa na kumnyanyasa kama wanavyofanya watu wengine nitakuchukulia hatua za kisheria dhidi ya kitendo ulichofanya.
Aksanteni naomba kuwasilisha
 
Nahitaji,Ila anatoka wapi na wewe uko wapi?
 
Mh!!! iwe kweli lkn isiwe wapiga dili,ukitoka mwenyewe chumba tuu chumba cheupe habahishi hata kijiko.
 
utoe na namba za sim sasa
 
Kuna style mpya sasa hivi, unaletewa unatoa pesa ya dalali, kisha huyo huyo dalali anamchukua kimya kimya anampereka sehem nyingine so kwa mwezi wanaweza kuzunguka hata nyumba 5. Kama udalali ni sawa na laki 2.5 na nauli nauli za kutoka mkoani kumbe ni wa hapa hapa in town. Akili kumkichwa.
 
Haitatokea kiongozi... Kwani hataruhusiwa kuacha kazi kabla mwaka haujaisha.. Kwani mkataba ndo kila kitu.. Vinginevyo kuwepo na sababu muhimu zisizoepukika . hivyo kuwa na amani mkuu
 
Mh!!! iwe kweli lkn isiwe wapiga dili,ukitoka mwenyewe chumba tuu chumba cheupe habahishi hata kijiko.
Siyo wapigaji.. Ikitokea kafanya hivyo nibane Mimi... Na haki yako haitapotea
 
Back
Top Bottom