Ulikuwa ukienda mida gani kule, watoto wa Mzumbe walikuwa wanapaogopa sana. Umetisha Mkuu, we yalikuwa maeneo yako ya kujidai! Nzovwe, Mbalizi, Airport, Sayi, miss sana Green City. Mi ya kujidai ilikuwa Ilemi kama unakwenda Chunya.Mkuu umenikumbusha maeneo yangu ya kujidai nilipokuwa MTC now MUST (Mbeya University of Science and Technology), ukishuka kidogo hapo unaibukia nzovwe then iyunga.
Nine ndipo bhakamuTulibhingi itolo
hiyo hiyo. huyo Atu anauza mananasi pale🙂Kk gani unayo zungumzia hii njia panda ya kwenda chuo cha magereza
Dada yangu atupakisye mwakanosya akiwa tayar kwa Valentine View attachment 470315
man Tuntufye aka Tuntu.
Tupe tafsiri mkuuUgwe uli nkonyofu, nkete imbulukutu syake!
Watoto wa Mzumbe lazima wapaogope kule, mimi maeneo hayo yote nafahamika muda wowote natimba tumeacha majina yetu huko!Ulikuwa ukienda mida gani kule, watoto wa Mzumbe walikuwa wanapaogopa sana. Umetisha Mkuu, we yalikuwa maeneo yako ya kujidai! Nzovwe, Mbalizi, Airport, Sayi, miss sana Green City. Mi ya kujidai ilikuwa Ilemi kama unakwenda Chunya.
Mkuu umetisha
Huamini nilichokizungumza au?Mhhhhh
Kwa Avatar yako sawa kabisa, mi nilikuwa nikienda ila na kampani ya wazawa tu.Watoto wa Mzumbe lazima wapaogope kule, mimi maeneo hayo yote nafahamika muda wowote natimba tumeacha majina yetu huko!
Duuh hizi pigo hatari.Atupye hawezi chomoka
Tupe tafsiri mkuu
[HASHTAG]#Imbulukutu[/HASHTAG]
***** kama vampire kwenyr muvi ya bladeDada yangu atupakisye mwakanosya akiwa tayar kwa Valentine View attachment 470315