Dada anatafuta kazi ya kuuza duka la madawa Dar

john_selcius

Member
Jul 3, 2012
15
3
Wakubwa zangu, nawasalimuni nyoote.
Naomba yeyote wa kunisaidia, Dada yangu amesomea ADO (TFDA), na anatamani kufanya kazi Dar ya kuuza dawa katika Duka la Madawa. Anauzoefu wa miaka miwili ya kazi hiyo na hata sasa yuko katika ajira hiyo mkoani.
Tafadhali, naomba mnisaidie.
Mwanajamvi
 

Attachments

  • TEDDY YUPO KIKAZI ZAIDI.jpg
    TEDDY YUPO KIKAZI ZAIDI.jpg
    157.2 KB · Views: 257
Kazi kweli au ndio unataka kusogezewa huduma mjini??????????????
 
Back
Top Bottom