Dada acha uchafu unakera

We we we acha maneno hayo bhna,kuacha ped kujisahau vipi bhana huo ni uchafu,ni sawa na kuingia chooni na kusahau kuflash,yani hapo ni uchafu sio kusahau.
Tangu umefikisha miaka 14 unatumia ped umeacha vipi kuizoea na kujua kuilinda isiwe kero kwa wengine.
 
Pedi Kwani ukivua unaweka wp? Kama sio bafuni kwako ?! Mimi nikibadili Nina mfuko wangu naweka humo nafunga naacha bafuni jioni nikirudi naweka nyingine kesho nazitoa natupa
 
Dada acha uchafu unakera!! 🤣
 
n
ngoja waje
 
Na nyinyi mkitolewa out mnabehave kama mmekatika mikono...bill zote tunalipa sisi
 
Pedi Kwani ukivua unaweka wp? Kama sio bafuni kwako ?! Mimi nikibadili Nina mfuko wangu naweka humo nafunga naacha bafuni jioni nikirudi naweka nyingine kesho nazitoa natupa

Sasa kama unaweka kwenye mfuko yeye anaona vipi?
Hapa tunazumgumzia kuiacha bafuni kiholela.
 
Anajua kua naweka nini humu .. na kuacha kiholela inaweza kutokea mara moja kama mtu unavyoweza kusahau chochote kile
 
Hivi Kuna wanawake wa hivi dunia hii ya leo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…