We jamaa unataka kurogwa??
Yaani hata wewe???Ya humu jukwaa anaiweza ila ya kule...
Dah!Ana Sky.... Wawili 😀 😀 😀 😀
Hata wewe?Pacha, kumbe huyo ndo Asprin?
Swahiba hata wewe?Labda anatengeneza six pack ya utumbo wa ndani🙂🙂
Siamini wallah!Japo ni mwaka jana Ila nimeona leo na nimecheka mnoo looh hahahahahahaaaaa.
Kuna mtu ame-hack akaunti yangu mzee wa odm, mie hapana kuweza kuandika hivyo[emoji2089][emoji2089]Swahiba hata wewe?
Afadhali.... maana dah!Kuna mtu ame-hack akaunti yangu mzee wa odm, mie hapana kuweza kuandika hivyo[emoji2089][emoji2089]