Ryanvonryx Member Joined Dec 24, 2016 Posts 19 Reaction score 8 Jan 25, 2017 #1 Wadau iv nawezaje kupata dab emoj ya ukwel kama unayo share link tu download
kamanda wa makamanda JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 633 Reaction score 498 Jan 25, 2017 #2 wafuate watoto wenzako.facebook
A Aguthadeus Member Joined Jan 22, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Jan 25, 2017 #3 kamanda wa makamanda said: wafuate watoto wenzako.facebook Click to expand... Duuh mbona majibu ya kebehi tena??, kama hamna au hujui c unampa mtu jibu straight
kamanda wa makamanda said: wafuate watoto wenzako.facebook Click to expand... Duuh mbona majibu ya kebehi tena??, kama hamna au hujui c unampa mtu jibu straight
Ryanvonryx Member Joined Dec 24, 2016 Posts 19 Reaction score 8 Jan 28, 2017 Thread starter #4 kamanda wa makamanda said: wafuate watoto wenzako.facebook Click to expand... Muda mwingine uwe unajielewa kama jbu huna tembea na gap heshima sio makalio ambayo ka mtu anayo cku nyingne jb inavyo takiwa huu ni ushaur bt ujielewe
kamanda wa makamanda said: wafuate watoto wenzako.facebook Click to expand... Muda mwingine uwe unajielewa kama jbu huna tembea na gap heshima sio makalio ambayo ka mtu anayo cku nyingne jb inavyo takiwa huu ni ushaur bt ujielewe
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,492 Jan 28, 2017 #5 mkuu emoji inakuwa kwenye platform hiyo ya kudownload na kutuma itakuwa ni picha ya kawaida au icon tu. na dab ndo ile ya pogba na lingard au?
mkuu emoji inakuwa kwenye platform hiyo ya kudownload na kutuma itakuwa ni picha ya kawaida au icon tu. na dab ndo ile ya pogba na lingard au?
Ryanvonryx Member Joined Dec 24, 2016 Posts 19 Reaction score 8 Feb 11, 2017 Thread starter #6 Chief-Mkwawa said: mkuu emoji inakuwa kwenye platform hiyo ya kudownload na kutuma itakuwa ni picha ya kawaida au icon tu. na dab ndo ile ya pogba na lingard au? Click to expand... Yaaa ndo iyo
Chief-Mkwawa said: mkuu emoji inakuwa kwenye platform hiyo ya kudownload na kutuma itakuwa ni picha ya kawaida au icon tu. na dab ndo ile ya pogba na lingard au? Click to expand... Yaaa ndo iyo