Daah!! Wazungu Wametuchoka Jamani!!

jamaniii duu hiyo ni pesa tu anatafuta bint wa watu...
 
Kwa ujinga wametuzidi, sema tu sisi tumelala huku, wakati yeye anagundua hicho kiti sisi huku kwetu Ntwara tumegundua gesi, na bado, npango wetu ni kuja kugundua nfuta ya petrol!
 
Akili Tunazo. Kitu Walichotuzidi Ni Maarifa Tu. Huu Ni Zaida Ya Uladhalilishaji Tumetwekwa Kifra.

Cc. Mke Wa Abromovich
 
mimi wazungu nawadharau sana, kifupi nawaona mbweha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…