Daah Nimefika Dar es Salaam mbona sifa nilizozipata ni tofauti

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Wakuu nashukuru Mungu nimefika Dar taangu juzi lakini Sifa tunazozisikaga ni Tofauti kabisa Leo nimeweza kukatiza mitaa ya Karikoo Nimeshangazwa na Majitaka/Mavi yalivyozagaa mitaani Jana nilitembea Baadhi ya Mitaa inasikitisha.


IMG_20170403_131955.jpg
IMG_20170403_131919.jpg
 
Wakuu nashukuru Mungu nimefika Dar taangu juzi lakini Sifa tunazozisikaga ni Tofauti kabisa Leo nimeweza kukatiza mitaa ya Karikoo Nimeshangazwa na Majitaka/Mavi yalivyozagaa mitaani Jana nilitembea Baadhi ya Mitaa inasikitisha.


View attachment 493878View attachment 493879


Ni kawaida hiyo Dunia nzima ni hivyo, unachokisikia siyo uhalisia, ukifika utashangaa!
 
Wewe ulisikia sifa zipi?! Mbona ITV kila mara wanaonesha hizo 'chambers' zinazotema kinyesi!! Mbona kila mara mafuriko yanaonekana!! Hebu eleza vzr :eek::D
 
Bro haiwezekani katika mkusanyiko wa watu zaidi ya mil 6 wote wakawa level ya juu. Kuna average joes na mafukara kabisa. Hii ni global trend, hapo Nairobi kuna maeneo kama Eastleigh na na Kibera slums, ukifika unaeza ukatoka machozi wanadamu wanaishi kama mende, lkn tunaambiwa Kenya ni 2nd world country.

Izunguke Dar ufike maeneo ya watu wa average kama salasala, uende maeneo ya wenye nazo huko kunduchi, ufike city centre nk. Hizi picha hapa chini zote ni Dar.
e2200cfe3e179d2354f00af9557692dd.jpg
7cd1ba31f9831b0143caf359b9ec1d16.jpg
45a266963fd2938997efc18cd891183d.jpg
ed546e82840b94caf39454ebe3c2d5aa.jpg

Na hautaamini kuwa hapa ni Detroit, Marekani
b0a09be87f2c90c2149cdcf3920f9507.jpg
 
Umeshukia hotel gani?
Ndugu au jirani?
Mshkaji
Na anaishi wapi
Uchafu kawaida unaonyesha watu wanazalisha taka
 
Back
Top Bottom