Huwa unapima UKIMWI kila baada ya muda gani??Wakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha Sasa mmoja Nina mda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya
Ni wazuri wote ila hyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa dar Nina mmoja Wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu Wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi zi ambaye ni WA pili alipata Kazi dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapo Kaa sawa nikakubali anakuja jumatano ajiandae andae..
Jana gafla Wa chuo ananipigia simu nipo shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikakuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa mda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani hyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na hyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikitumia message mbili tatu anapiga wadau hapa nafanyaje Maana sielewi huyu namtoa vip hapa?
Msaada tutani.
[emoji16][emoji16] we jamaa ni bahariaUmeyatimba mkuu apo ndio utumie akili yako vizuri.
Mwambie huyo aliekuja bila taarifa kuwa una ugeni wa mjomba, anakuja kwa matibabu na atafikia kwako kwa kipindi chote akiwa dar kimatibabu. Asipoamini tafuta mtu mpange awe mjomba mjomba na atokee eneo la tukio.
Hehee πππUmeyatimba mkuu apo ndio utumie akili yako vizuri.
Mwambie huyo aliekuja bila taarifa kuwa una ugeni wa mjomba, anakuja kwa matibabu na atafikia kwako kwa kipindi chote akiwa dar kimatibabu. Asipoamini tafuta mtu mpange awe mjomba mjomba na atokee eneo la tukio.
Ni ushauri tu kumuepushia aibu[emoji16][emoji16] we jamaa ni baharia
mwambie upo safarini kuelekea Iringa kikazi maybe unaweza rudi next month, kuna upepo mkali huwezi ongea mkaskizana viziri labda meseji tuuWakuu kwema?