S SHAY2 Member Joined Sep 20, 2013 Posts 24 Reaction score 1 Sep 24, 2013 #1 Masai na mwanajeshi walikua wanapigana,masai akarusha mkuki mwanajeshi akaudaka na kuuchomeka mbele yake, mwanajeshi akarusha bomu masai akalidaka na kulitupa mbele yake, so kilichotoke me sijui maana nilikimbia
Masai na mwanajeshi walikua wanapigana,masai akarusha mkuki mwanajeshi akaudaka na kuuchomeka mbele yake, mwanajeshi akarusha bomu masai akalidaka na kulitupa mbele yake, so kilichotoke me sijui maana nilikimbia