Kama namuona MariumWe Mariam umemfanya nini Chalii wa watu asee?!
@NgarenaroBoy
[emoji23][emoji23][emoji23]We Mariam umemfanya nini Chalii wa watu asee?!
@NgarenaroBoy
Akiachwa atajinyonga huyuUkisikia ujana maji ya moto ndio huu sasa. Mana waeza kuta hapo haoni hasikii kwa huyo Mariam.
Na ndio sababu hajali watu watamuangaliaje.
[emoji23][emoji23][emoji23] mweeh!!
Hakuwahi kumpakulia birian nae ananjaa sasaItakuwa Mariam biriani