Daah kumbe mashemeji ndo walinikataa

Waulize marafiki zako.
 
Mkuu acha kuudhalilisha uanaume. Hili sio Jambo la kuomba ushauri. Mwanamke kama hathamini Upendo wako kwake hata awe mzuri kiasi gani hamishia Upendo wako kwa anayejua Thamani ya kupendwa.
Ndugu wanaume wenzangu uanaume ni pamoja na kuwa na msimamo sahihi usioyumbishwa!
 
Mwambie unaogopa atakugeuka siku ya harusi utafedheka hadharani.

Akaolewe na waliomshauri akuache.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Endelea kula kimasihara


NB: usiache mbachao kwa msala upitao
 
Akili YAKO ndoo mtaji wako...... Kwa ambae unaona anakufaa kaa nae ndani

Usikimbilie kigezo ni mzuri "Vina muda basi" angalia status inayosoma wife material..
 
Na kushauri Kwa akili yako uliyonayo embu achana kabisa na mambo ya mapenzi kwanza,,,jikite zaidi kufanya mambo mengine ya msingi.
Vijana wanaweza kweli?
Hii kichwa ya chini ikipiga push up tayari mipango yote inavurugika anawaza kuteleza kwenye pango tu sio mambo ya msingi.
 
Inabidi afanye juhudi aachane na mambo ya kurikwesti aba!!
Kichwa yake yenyewe haina msimamo kama angekuwa anajielewa angekuja bhas kuhitimisha aliyofanyiwa na uamuzi aliyochukua

Hitimisho la uzi wake anamsifia huyo mwanamke "uzuri" na bado anampenda.
Tuendelee kuwa maskini kiuchumi,fikra na maamuzi.
 
Hizo ni dalili za mtu:-
asiyekuwa na akili ya kufanya maamuzi;
kigeugeu;
asiyejitambua;
asiyejiamini ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…