Daah! Kukaa nyumbani kunachosha jamani!

Jaman mbona hawa watu wamemzeeka ghafla Na kukondeana Sana?????
 
Au ni photo shop hiyo...
 
Hata mwaka haujaisha watanzania weshakumis Mzee wa Msoga.
 
Watu bwana ndio maana hatuendelei ukinenepa nongwa ukikonda nongwa duuh
 
Daah!!! muuza Chai na maandazi katusua kweli hakuna aijuae kesho
 
Tobaaaaa amewakaribisha hao wasafi nyumbani kwake mchunge salima na hao mabinti wengine hao sio watu wazuri kabisa sijui wanann
 
Watu hamuishiwi sera,hayo yanaitwa majungu
 
JK kwa umri wake anahitaji kupunguza mwili na uzito ili kutoyapa nafasi magonjwa ya uzeeni. Mimi naona yupo fresh tu.
 
Watu kama mna laana mbona babaako anashinda kwenye bao hujampost,umbea laana mbaya sana
 
ha ha ha ha ubabu ubabu na ubibi ubibi hivi kawaida lkn!
 
Ndio maana viongozi wa Afrika hawapendi kuachia ngazi....kama baada ya madaraka ndio unakuwa hivi,..Nkurunziza si atakuwa kama Erick Omondi?
 
Jk mutu ya nguvu mkuru ya bendi mutu ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…