Daah!!..... Inauma sana!!

Kwani leo hii si kitu hicho hicho ndo huwa kinafundishwa mashuleni mwetu?? Au umeweka attention yako kwenye hiyo picha kuliko ujumbe(Message)?

No no ndiyo maana tunafundishwa critical analysis, hayo ya kumemorise ni elimu ya kizamani. Lakini si kila mtu anavuna alichopanda shule.
 
No no ndiyo maana tunafundishwa critical analysis, hayo ya kumemorise ni elimu ya kizamani. Lakini si kila mtu anavuna alichopanda shule.
Haya ya kumemorise ni elimu ya zamani?? Form one hadi form six mfumo ukoje???..... Atakaetoka ni aliemeza, hiyo ndiyo sylubus ya form one hadi six ilivyo!!!
 
Hizo ni school of thought. Zina mwendelezo mpaka unawakuta social constructivism mpaka akina multiple intelligence theory akina gardiner hao ndo recently. Kimsingi repitition memorising and claiming ndo basics in learning.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…