Daah! Anavaa sponji(kigodoro) makalioni...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee hiyo nikija Dar lazima nikaitafute kariakooo bei gan saivi?
Inategemea
Kwenye machimbo yetu ni 15000/=
Ila kuna wanauza mpaka 30,000/=
Halafu hiyo siyo butt lifter
Ni kigodoro
 
Inategemea
Kwenye machimbo yetu ni 15000/=
Ila kuna wanauza mpaka 30,000/=
Halafu hiyo siyo butt lifter
Ni kigodoro
Shooo itabid nikupiem unitumie kuna gauni langu la mpiraa linataka kigodoro niwe na wowowo zaidi ya hapaa
 
Poleeee sana kwann?
Kuna mdada mmoja ni babyface halafu very cute na mwili ni mkubwa ila sasa wowowo huo sio wa kawaida.(fake)
Kwa kweli mpaka sisi wazee akipita kama tunaongea huwa tunanyamaza kwa sekunde kadhaa.
Kumbe niliyoyasikia wakati huo ndio nayasoma tena humu
Kwa kweli huu msemo wa kuwa uyaone sijui ntakuwa lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…