Daah Ajira ngumu aisee!


Ahhhahahahahahahahajahjahshshsjahahahahajahajahajahajaaajaajjhajahahahahahahahahhahahahahhhahahahahahabahaahah yaaani badala ya kukuonea huruma unanifanya nicheke tu daah hadi machozi hahhhahahahhahjahaja
 
Dah pole sana mkuu. Japo hata mimi ajira imeshindikana. Kinachoniumiza ni jitihada nlizokuwa nazo wakati nasoma. Dah inauma sana....
 

Mkuu mi namtafuta anayetaka pesa anipe kazi simpati. Mtafute mwenye kazi atupatie mimi nitakulipia na wewe.
 
Katika kutafuta ajira kwa kweli mashirika ya Umma ni ngumu sana kupata ajira kama ilivyonitokea mimi ila kuna jamaa aliniambia nijaribu Sekretariat ya ajira basi nilifanya usahili mara mbili hatimaye nikapangiwa kituo cha kazi(Placement).Jaribu huko utatoka vema ila ukiitwa kwenye usahili jitahidi kusoma kwa bidii sana maana wale wanatoa maswali ya darasani tu.
 
Ndugu kb52 bado hujafanikiwa mpaka leo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…