Daah afadhali service charge ya LUKU inaondolewa

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Nimefurahi sana kuskia service charge ya luku inaondolewa kuanzua mwezi ujao.daahh hii ilikuwa jipu tambazi.hongera sn JPM
 
KWA HIYO WANASEMA ELFU 10 ITAKUWA INALETA UNIT NGAPI MWANZONI MWA MWEZI?! MAANA KWA SASA INALETA UNIT NANE! SAWA NA ELFU 1 NA 250 TSHS! KWA UNIT MOJA!
 
Sasa wakiondoa service charge then wakapandsha kodi na bei kwa unit hapo badae bado si jipu tu...
 
Back
Top Bottom