Daaah...!

"Wajaalana mina L maa kuli shayin hai" nduki........ (hapo ni jakuzi la kufa mtu)
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
That is a science-fiction and fantasy concept/idea!
 
Kuna siku niliwahi kuangalia picha kama hii usiku, aisee sikulala, niliweweseka mpaka asubuhi.
Ila baadae nilienda kwenye website fulani hivi nikakuta jinsi inavyofanyika
 
Nahisi kama Kuna bomba jeupe kama la inch 2" hapo katikati ya hayo maji yanapotiririka
 
Kuna siku niliwahi kuangalia picha kama hii usiku, aisee sikulala, niliweweseka mpaka asubuhi.
Ila baadae nilienda kwenye website fulani hivi nikakuta jinsi inavyofanyika

Wanafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…