Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
Skia hii,kuna jamaa alikua kipofu ndugu zake wakampeleka india ili afanyiwe opareshen na aweze kuona kama kawaida
alipofika hospitali kufanyiwa oparesheni madokta wakambadilisha macho na kumuwekea ya paka,mda mfupi baada ya opareshen dokta akamuulize mgonjwa "hapo vp unaona vizuri?"
mgonjwa akasema"ndio, lakini naona panya tu!"