muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,098
- 1,056
Ungemwua ndio ungemjua IGP jiha lake la utoto...leo nimepigana kufa kupona , hii imetoka na jamaa mmoja kutaka kuniletea dharau mbele ya demu wangu ninaye mpenda.
aiseee, kumbe jamaa lenyewe ni la dar, mwili mkubwa hakuna kitu.
tulipo anza kuzichapa mnamo sekunde ya kumi nikamtwanga konde moja la uso...... akavumili kidogo, nikipiga nondo ingine kifuani upande wa moyo... nikasikia chiwiiiiiiiiii.
nikaendelea na mashambulizi,
nikamtandika tena teke la kwenye pumbu..... akasema mama weeeeeeee nafwaaaaa.
nikamaliza na ngumi ya pua na damu kuchuruzika.
mwisho nikamwambia pole sana, mimi ni mwanaume wa mkoani mbwa wewe
Mambo ya zamani kweli nikiwa pale manundu korogwePolesana mkuu miakahii mnapigana?
form 4 mnakazi kwelikweli!!leo nimepigana kufa kupona , hii imetoka na jamaa mmoja kutaka kuniletea dharau mbele ya demu wangu ninaye mpenda.
aiseee, kumbe jamaa lenyewe ni la dar, mwili mkubwa hakuna kitu.
tulipo anza kuzichapa mnamo sekunde ya kumi nikamtwanga konde moja la uso...... akavumili kidogo, nikipiga nondo ingine kifuani upande wa moyo... nikasikia chiwiiiiiiiiii.
nikaendelea na mashambulizi,
nikamtandika tena teke la kwenye pumbu..... akasema mama weeeeeeee nafwaaaaa.
nikamaliza na ngumi ya pua na damu kuchuruzika.
mwisho nikamwambia pole sana, mimi ni mwanaume wa mkoani mbwa wewe
Hahaa umeona eehform 4 mnakazi kwelikweli!!