Daaah,Kidani sehemu za siri?

Daaah,Kidani sehemu za siri?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,950
Reaction score
134,020
Pamoja na kuwa nimezoea kuona masikio, puani, au juu ya jicho na kitovuni lakini nikikiona kwenye ulimi huwa sishangai sana. Ila hi ya kuweka sehemu za siri kabisa kwenye utamu huwa inanishangaza sana.Kama ni urembo basi hii ni too much.
 
Huyo muweka vidani anafaidi...kuna watu wana profession nzuri duniani.
 
Sana sana porn stars ndo wanafanyaga hvyo! Tena wale ma'black a. K. A ebony!!!
Kipini puani, kwenye nidoz, kwenye ulimi, kwenye kitovu, hapa juu kwenye kope pia kipini, na kwenye utupu kipini.
 
Hivi huu uigaji wa kila kitu watu wakiendelea nao waafrica tutaangamia wote!
 
Hivi huu uigaji wa kila kitu watu wakiendelea nao waafrica tutaangamia wote!

Kibo 10;
Kwa nini waafrika tu mkuu. Weye nawe umeigapo nini?? Kama hujaiga hutaangamia kamwe. Mbona wao walituiga kukeketa, yapo mazuri na yapo mabaya pia.
Usiogope, huyo anayewekeza sehemu hizo ana yake mambo. Sjui kinafungiwa nje au ndani kwani ka ndani basi hiyo ni silaha mabakaji yashangae, tena yatakoma kuparamia vya wenyewe, laiti wangebuni cha kisindano kikawekwa kuleee chumba cha ndani kabisa. Wengi wanglia saana to
 
Back
Top Bottom