daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 873
mi staki hata wanipendezeshee, nataka kinu halisi!Tunawapendezeshea, ila mkiombwa ya kukarabatia ndo wabishi kama nini!!!
mi staki hata wanipendezeshee, nataka kinu halisi!Tunawapendezeshea, ila mkiombwa ya kukarabatia ndo wabishi kama nini!!!
mi staki hata wanipendezeshee, nataka kinu halisi!
Hizo aniwekee kwenye chakula wakati tunafundishwa sikuambiwa zinawekwa chini!acha hizo bana, chukuchuku inachosha pilipili na ndimu kidogo ndo mpango....
Pamoja na kuwa nimezoea kuona masikio, puani, au juu ya jicho na kitovuni lakini nikikiona kwenye ulimi huwa sishangai sana. Ila hi ya kuweka sehemu za siri kabisa kwenye utamu huwa inanishangaza sana.Kama ni urembo basi hii ni too much.
Nimefika mbali kimawazo stail inayotumika kuwekewa kipini na muwekaji cjui zoez lake huwa linaishaje mh ni htr
Saumu ushaharibu..
Tunaomba serikali itusaidie kwenye hili