Daaah....huyu nayeeee!!!!!!

Labda alikuwa na maana yake kufanya hivyo maana anajua akikabidhii wahusika hawana mtindo wa kukagua vitu kama hivi.(alitaka kuona umakini wa wakaguzi kabla awajakabidiwa)
 
Ingelikua ni chini ya menejment ya mh Magufuli angezaa na huyo mkandarasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…