Daaah.... Halafu nchini kwetu.!!!

Hawa waarabu wanatunyanyasa sana.
 
Mnajinyanyasa na sio wanakunyanyasa. .
Kila kitu mnaiga kwao jingne linazunguka kutafuta huruma kwao eti waliweke madarakan Acha tupigwe tu
Hawa waarabu wanatunyanyasa sana.
 
Hapo ni nini? naona kama Mzungu anamchapa Mtoto wa Mfugaji.

Huenda kaachia Ngombe wakala mazo ya Mzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…