Daaaah Nassari ana mke mzuri

Uzuri wa kitu upo kwenye kitu chanyewe au machoni pa mtu anayetazama???
[HASHTAG]#mbweto[/HASHTAG]
 
Hawa wanaoitwa vimodo wanadhaniwa kuwa maamuzi magumu hasa wakiwa na mahusiano na wanaitwa watu maarufu.
 
Sasa jamani kama ndy hivyo tuanze kurusha mademu zetu humu tuone sasa, kwa wale ambao mlitafutiwa wachumba na wazazi wenu mpo humu najua mtapita mbali.
 
Sasa hapo mbona sioni cha ajabu na yule wa nyalandu mtamuiteje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…