Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,292
- 1,867
Ushauri wako haufai naukataa[emoji35]Ushoga utapata fasta
Maana yake nnKutoa ndogo
Kulima mpk kuvuna inachukua muda gani?Kulima tu na kamari
Miezi miwili - mitatu tu sijasema alime mahindi au nganoKulima mpk kuvuna inachukua muda gani?
Ye anataka hela ya fasta.Miezi miwili - mitatu tu sijasema alime mahindi au ngano
Uza asset Kama Shamba, Kiwanja, gari, etcHabari wadau!
Ukiondoa wizi na kukopa ni jambo gani ambalo ukilifanya unapata M5 fasta nimekabwa na shida sijapata kuona mawazo yenu ndugu zangu[emoji26]
Kutoa ndogo
Miezi miwili - mitatu tu sijasema alime mahindi au ngano