Daaa milioni tano ghafla zitakujaje?

Daaa milioni tano ghafla zitakujaje?

Mkuu ongezea nyama kidogo.
Kilimo cha zao gani unachokimaanisha na utoe mchanganuo wake kuanzia kuandaa shamba na hatua zote mpaka kuvuna mazao.
Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe.
Ni kilimo cha mboga mboga pamoja na matunda.
.
Ukiwa na shamba hekari moja tu linatosha kukutoa likiwa mazingira mazuri mfano Mwanza na Morogoro lakini inahitaji gharama kidogo kufanikisha
 
Back
Top Bottom