Da hii balaa sasa ..!!!

Kutoona hilo balaa ndo balaa lenyewe! hahaaaa!!Jf raha sana, yaani mtu anataka tu idadi ya thread zake iongezeke basi!!
 
Mleta mada ni Mwl.RCT ni mtu anayeaminika na kuheshimiwa na wengi hapa jukwaani. Sijui leo kapatwa na balaa gani kuleta hili balaa
 
Mleta mada ni Mwl.RCT ni mtu anayeaminika na kuheshimiwa na wengi hapa jukwaani. Sijui leo kapatwa na balaa gani kuleta hili balaa

hahahah watakuwa wame-hack ID yake mhh
 
balaa juu ya balaa gawanya kwa balaa...ni balaa tupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…