D9 nisipokufa kwa risasi nitakufa kwa njaa

Hornbil

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2025
Posts
454
Reaction score
379
Mambo yanaenda kuwa mabaya sana kuazia Dec 1, vizuizi Kila Kona plus curfew.

Sisi walalahoi ambao lazima tutoke ndio tule mpaka kufikia 9 Dec njaa itakua imetumaliza.

Mabadiliko yanakuja na maumivu makali sana, but hakuna namna, lazima tupate maumivu.
Let's embrace pain
 
Mungu ataepusha Hilo inshaallah haki inakujaga yenyewe TU mahakama ya mungu Iko amua
 
Mambo yanaenda kuwa mabaya sana kuazia Dec 1, vizuizi Kila Kona plus curfew.

Sisi walalahoi ambao lazima tutoke ndio tule mpaka kufikia 9 Dec njaa itakua imetumaliza.

Mabadiliko yanakuja na maumivu makali sana, but hakuna namna, lazima tupate maumivu.
Let's embrace pain

Mkuu kama ulipona hapa basi amini na hapa utapona wiki hii moja iliyobaki anza kuweka mazaga ndani
 
unakufaje na njaa na kuna panya mbwa koko wale pia kuna paka pia kuna kunguru njaa hainaga haram
 
Tatizo Gen Z wanafanya Looting wanafikiri ndio maandamano
Unatoka barabarani kufuata mkumbo hata mtu akikuuliza umefuata nini haujui!
Kama mtafanya looting (uharibifu wa mali za watu binafsi na za uma) duniani kote moto unajibiwa kwa moto!
Call a spade spade na hata ukienda MAREKANAI usije ukafikiri utafanya looting halafu ujibiwe kwa bomu la machozi...
TENGENEZENI MABANGO YA KUFIKISHA MALALAMIKO MUONE UJUMBE WENU UATAKAVYO FIKA MBALI...tena bila madahara ana madhara kidogo....
MNAONGELEA KIFO KIRAHISI RAHISI wakati hujui waliokufa miaka 1000 + wako wapi? na ujue ukisha kufa huna hata nafasi ya kuomba msamaha/kutubu!
 
We mwenyekiti wa kijiji cha ipandamusi kupitia chama cha mashetani CCM acha kufundisha watu jinsi ya kuandamana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom