Wamekuwa profiled. Enforcing the law by racial profiling is problematic!wamesingiziwa, au?...
Kwamba nae ananyooshwa ama??
Bila kuelewa context, swali la ndiyo au hapana ni meaningless!mbona unakuja na kingeeraza kiingi? swali ni rahisi tu je, wamessingiziwa? hilo swali wala halina majibu mengi na marefu, lina jibu la ndiyo au hapana ...
Bila kuelewa context, swali la ndiyo au hapana ni meaningless!
Sio kila mtu ni deportable!nini kigumu hapo? kama hauna jibu la ndiyo au hapana basi basi jibu ni kwamba hawajasingiziwa na wamehusika, na ni skandali kubwa billions of US dollars btw wanaenda kudepotiwa mmoja baada ya mwingine ...