D.Trump kapatikana!

D.Trump kapatikana!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,217
Reaction score
14,811
hahaha kakutana na wababe wenzake, sasa anapata wapi uhalali wa kumvamia muslim ayatola kwa kosa la kudili na waandamanaji? kaweka mpira kwapani.

D.Trump labda amepuuzia ukweli kwamba walioiweka islamic regime persia ni hao hao USA kupitia cia waliompindua shah, hivyo adui anaye hapo hapo USA …

1768495246626.png
 
Aliyepatikana ni huyo ambae ametawala nchi kws miongo kadhaa na bado analazimika kutumia bunduki kuendelea kusalia madarakani...
Naendelea kushangaa taifa la kidini limefikia mahali linaweka vitabu vya dini na kuanza kuuwa watu mnaficha aibu yenu kwa kumzingatia Trump.
 
Aliyepatikana ni huyo ambae ametawala nchi kwa miongo kadhaa na bado analazimika kutumia bunduki kuendelea kusalia madarakani...
Naendelea kushangaa taifa la kidini limefikia mahali linaweka vitabu vya dini chini na kuanza kuuwa watu ..mnaficha aibu yenu kwa kumzingatia Trump.
 
hahaha kakutana na wababe wenzake, sasa anapata wapi uhalali wa kumvamia muslim ayatola kwa kosa la kudili na waandamanaji? kaweka mpira kwapani.

D.Trump labda amepuuzia ukweli kwamba walioiweka islamic regime persia ni hao hao USA kupitia cia kwa kumpindua shah, hivyo adui anaye hapo hapo USA …

View attachment 3530120
Trump ni kichaa ...
 
Aliyepatikana ni huyo ambae ametawala nchi kws miongo kadhaa na bado analazimika kutumia bunduki kuendelea kusalia madarakani...
Naendelea kushangaa taifa la kidini limefikia mahali linaweka vitabu vya dini na kuanza kuuwa watu mnaficha aibu yenu kwa kumzingatia Trump.

ayatola na islamic republic of irani iliwekwa na cia, USA ndiyo waliompindua civilized shah na kuweka muslims mulahs …
 
sidhani, ila communists na muslims wameshaingia ndani kabisa ya mfumo wa west, ni kama hakuna matumaini tena …
Communists tena?...kwani bado hicho ni kitisho kwa Marekani?...

Kuhusu Muslims wapo miaka msingi sana hapo Marekani vipi wawe tishio?...
 
Communists tena?...kwani bado hicho ni kitisho kwa Marekani?...

Kuhusu Muslims wapo miaka msingi sana hapo Marekani vipi wawe tishio?...

ndiyo, commumism na islam ni tishio la 21st century, wanakiwasha (communists) huko minnesota sasa hivi …

waandamanaji wa minessota hao pichani, jiulize msomali na hijab anaweza kumfanyia hivyo bashir wa kwao somalia?
1768497839358.png
 
Nchi za watu wajinga bhana!

Ukweli mchungu, Wazungu na Wayahudi, Dunia wanaiendesha kwa propaganda mataifa mengine wanaingia kwenye uhuni wao

Mfano, maandamano ya hao waperesi, Iranian, ni mbinu na akili ndogo iliyotumika ya Myahudi na Mungu nao wakaingia mtegoni

Kwa nini wasitawaliwe?

Mbinu anayoitumia Mzungu hasa USA na Myahudi ni kufarakanisha tawala na watu wao kisha nchi inaingia kwenye machafuko mnauwana nyinyi kwa nyinyi, wazo la mzungu kutumia silaha ni la mwisho sana tena inapolazimika tu
 
its too complicated i guess, kuanza kuelezea what is communism, imeanzia wapi, nani ana-fund communism na lengo la communism ni nini …
Yaani mkuu unaamini kuna wacommunisti Marekani ambao ni tishio kubwa kwa hiyo nchi kuliko wale 'white supremacists' ambao wengi wao ni mashabiki wa Trump?.
 
yeah umesikia hela walizoiba huko USA lkn? …
You guys don’t know Trump. Mchizi ni mtu wa visasi sana! Haya yote ni kujaribu kumkomoa Congresswoman Ilhan Omar (Msomali ambaye ni critic mkubwa wa Trump).

Hakuna sababu ya kuamini kwamba Wasomali ndio wanaongoza kwa udanganyifu katika madai ya welfare benefits!
 
lkn ndiyo wadanganyifu walioshikwa …
 
Ayatollah niko naye pamoja.
Lazima uharo wa trump upenye vyema kwa chupi yake.
 
Back
Top Bottom