Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 725
- 1,229
Nyonga hao kuluna mpaka akili ikawe sawaKongo imelaaniwa, tangu wapate Uhuru hawajawahi kupata utulivu. Dalili kuu ya mtu au Taifa lililolaniwa ni kukosa utulivu.
View attachment 3202870
DRC nchi iliyojaa madini. Kuna sehemu ukiingia msituni kabisa huko ukichota mchanga gunia 1 unaweza kupata pure gold debe moja lakini kwasababu ya laana iliyotokana na ardhi kushiba damu za watu hayo madini hayajawahi kuwa na mchango wa maana kwa wananchi.
DR Congo kuna ufukara uliokithiri. Kongo kuna nuka damu.
Viongozi nao shetani kawaziba macho wanadhani kutumia upanga kutalituliza Taifa. Juzi wameuwawa kikatili vijana wadogo (panya road) 102 na wengine wanatarajiwa kunyongwa kikatili pia soon.
Ni unyama, unyama na ushetani.
Wanadhani wanaliponya Taifa kumbe wanalinywesha damu zaidi lizidi kulaaniwa.
Nenda kachote ila ukienda kitoto maiti yako italiwa na sokwe msituniWakuu tunakwenda lini kuchota dhahabu
Ni nchi gani isiyolaaniwa Afrika?Kongo imelaaniwa, tangu wapate Uhuru hawajawahi kupata utulivu. Dalili kuu ya mtu au Taifa lililolaniwa ni kukosa utulivu.
View attachment 3202870
DRC nchi iliyojaa madini. Kuna sehemu ukiingia msituni kabisa huko ukichota mchanga gunia 1 unaweza kupata pure gold debe moja lakini kwasababu ya laana iliyotokana na ardhi kushiba damu za watu hayo madini hayajawahi kuwa na mchango wa maana kwa wananchi.
DR Congo kuna ufukara uliokithiri. Kongo kuna nuka damu.
Viongozi nao shetani kawaziba macho wanadhani kutumia upanga kutalituliza Taifa. Juzi wameuwawa kikatili vijana wadogo (panya road) 102 na wengine wanatarajiwa kunyongwa kikatili pia soon.
Ni unyama, unyama na ushetani.
Wanadhani wanaliponya Taifa kumbe wanalinywesha damu zaidi lizidi kulaaniwa.
Hakuna.Ni nchi gani isiyolaaniwa Afrika?
DuhNenda kachote ila ukienda kitoto maiti yako italiwa na sokwe msituni
Mkuu Mapinduzi ukifanya hakikisha yanafanikiwa . Yasipofanikiwa ukinaswa hamnaga adhabu yenye nafuu. Angalau nafuu zaidi ni jela ya mateso ya muda mrefu kizuizini. Adhabu kubwa zaidi ya lazima ni kifo. Hii ipo dunia nzima. Bila kujali umefanya hivyo kwasababu Gani.. adhabu ni kifo.Tanzania tunatakiwa tumfukuze barozi wa DRC ili kuonesha hatujapendezwa na kunyongwa Kwa vijana.kuua siyo njia sahihi ya kumaliza tatizo,Tatizo la kuwepo Kwa hayo magenge yalitokana na serikali yenyewe kutokutengeneza mazingira mazuri Kwa watu.
Kama ni wahalifu wa hivyo basi wamepata wanachostahili..Hao madogo wasikie tu,wanakuua kikatili alafu wanachukua kilakitu.
SureHakuna laana hapo.Ni mifumo ya watu ndio imefanya pawe hivyo mpaka kesho.
Tunaita watu wana laana wakati toka miaka na miaka hapo wahuni wanaleta silaha na kupanga matukio ya kutisha pasiwe stable.Sure