Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,543
- 49,417
?Hawajalaaniwa isipokuwa hujui kuhusu Congo. Hao watoto walionyongwa na wanaosubiria kunyongwa hakika wanastahili kufanyiwa hivyo.
WalifanyajeHawajalaaniwa isipokuwa hujui kuhusu Congo. Hao watoto walionyongwa na wanaosubiria kunyongwa hakika wanastahili kufanyiwa hivyo.
Hivi walifanya nn hao watotoHawajalaaniwa isipokuwa hujui kuhusu Congo. Hao watoto walionyongwa na wanaosubiria kunyongwa hakika wanastahili kufanyiwa hivyo.
Kagame anatumia jeshi lake kuvuna raslimali huko.DRC nchi iliyojaa madini. Kuna sehemu ukiingia msituni kabisa huko ukichota mchanga gunia 1 unaweza kupata pure gold debe moja...
Unamaanisha Chaga zone wakichukua Nchi watafanya mapinduzi within 15 yrs?kilichopo congo ni wanajeshi wanaaminiwa na serikali wanakuja kusaliti jeshi manake wanakua waasi wananza kupambana na serikali .
kwa Tanzania tumefanikiwa kwa sababu jeshiniJWTZ tumejaza wakuria , wazanaki, wajita, na wajaluo hawa jamaa Wana respect na uzalendo flani hivi nadhani wamechukua blood champion nyerere.
kwa Tanzania kuna wazee flani ivi wa kanda X ukiwaweka jeshini 15 yrs wanafanya mapinduzi 😂😂😂
Kwasababu wamefanya jinaiKwa nini wastahili kunyongwa
?
Sasa mbona milio mingi inatokea Rwanda badala ya Congo baada ya hao vijana kunyongwa?Tanzania tunatakiwa tumfukuze barozi wa DRC ili kuonesha hatujapendezwa na kunyongwa Kwa vijana.kuua siyo njia sahihi ya kumaliza tatizo,Tatizo la kuwepo Kwa hayo magenge yalitokana na serikali yenyewe kutokutengeneza mazingira mazuri Kwa watu.
Kupiga mtu risasi siyo sahihi kabisa na haifai kabisa.bora wafungwe maisha na siyo kuwapiga risasi.Sasa mbona milio mingi inatokea Rwanda badala ya Congo baada ya hao vijana kunyongwa?
Tena siyo kunyongwa! Nasikia wamemiminiwa njugu!
Nafikiri hujui unachokiandika.Kupiga mtu risasi siyo sahihi kabisa na haifai kabisa.bora wafungwe maisha na siyo kuwapiga risasi.
Tokeni zenu, yaan muwatetee majambazi? Mbona hata Tz ukileta upuuzi wanakupoteza chap tu stories zitabaki mitaan kuwa hujulikani ulipo.Tanzania tunatakiwa tumfukuze barozi wa DRC ili kuonesha hatujapendezwa na kunyongwa Kwa vijana.kuua siyo njia sahihi ya kumaliza tatizo,Tatizo la kuwepo Kwa hayo magenge yalitokana na serikali yenyewe kutokutengeneza mazingira mazuri Kwa watu.