Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Short and clear!Google.com
Short and clear!
Watu wengine wazembe sana utadhani vichwa vyao wamepewa kufugia nywele tu!
Hiki kizazi ni majanga makubwa hakiendi bila madesa yaani mtu anafikiri kila kitu ni mteremko kiasi hicho. km hujui kaa kimya.
google sio kila kitu kuna historia na habari nyingi tunazisoma hapa JF na huwezi kuzikuta huko google.
mburula mkubwa we....
Asante Masulupwete but remember to shake your head before use!Hiki kizazi ni majanga makubwa hakiendi bila madesa yaani mtu anafikiri kila kitu ni mteremko kiasi hicho. km hujui kaa kimya.
google sio kila kitu kuna historia na habari nyingi tunazisoma hapa JF na huwezi kuzikuta huko google.
mburula mkubwa we....
Hapa mkuu wewe ndio unaonekana Mburura....
Wenzio wanakueleza njia sahihi ya kumfahamu Cyril Ramaphosa ni kumtafuta kupitia Google...Wewe badala ya kushukuru unawaita wenzio Mburura....Ukimtafuta Ramaphosa kupitia Google ama Wikipedia utaupata wasifu wake vizuri tu...

Dah.......Hapa mkuu wewe ndio unaonekana Mburura....