Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Profesa Anna Tibaijuka kiasi cha Tzs milioni 80

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Juzi fatume kesi yake imeshinda na ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lake ilimchafua wakili huyo msomi.

Sasa anatakiwa kulipa bilion 7
Aisee hii sijui kama mfukoni yupo vizuri au maneno mengi!

Sasa mama ana tibaijuka naye kashinda kesi ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lili mchamfua.

Sasa anatakiwa kulipa milioni 80

Je cyprian musiba kama watu wakizidi kukufungulia kesi mahakamani utatoboa kweli.

Au unaweza kufa kihoro tena mdomo wazi kukwepa madeni ya fidia
---
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, ilimuamuru Musiba kulipa Sh. milioni 80 kwa Prof. Tibaijuka baada ya kuridhika kwamba alikashfiwa na kudhalilishwa na mshitakiwa kupitia gazeti lake la Tanzanite. Nakala ya hukumu hiyo ilitolewa Julai 16, 2021.

Gazeti hilo toleo namba 30 la Oktoba 30, 2017, lililowasilishwa mahakamani kama ushahidi, liliandika “Pigo jingine kwa Prof. Tibaijuka,” likimuhusisha na kashfa kadhaa ambazo mlalamikaji alisema ni za uongo na kuthibitishwa na mahakama, hivyo kamuamuru mshitakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni 80.

Gazeti hilo lilimhusisha Prof. Tibaijuka na madai mengine ya kampuni ya bima ya Milembe, inayomilikiwa na mtoto wake, Muganyizi Karumuna Tibaijuka – kwamba ilishindwa kumlipa fidia mmoja wa wateja wake wa madai ya bima, tuhuma ambazo mahakama ilithibitisha kuwa ni uongo.

Tibaijuka.jpg

Update
View attachment 1893990
 
Jana alisema Mumuombee anapitia magumu
 
"Walahhi" mtaua .Musiba kalikoroga:)
 
Juzi fatume kesi yake imeshinda na ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lake ilimchafua wakili huyo msomi. Sasa anatakiwa kulipa bilion 7

Sasa mama ana tibaijuka naye kashinda kesi ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lili mchamfua. Sasa anatakiwa kulipa milioni 80
Namshauri aanze kulipa hii ya 80M, ili abaki na moja ambayo hawezi kwa vyovyote
 
Juzi fatume kesi yake imeshinda na ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lake ilimchafua wakili huyo msomi.

Sasa anatakiwa kulipa bilion 7
Aisee hii sijui kama mfukoni yupo vizuri au maneno mengi!

Sasa mama ana tibaijuka naye kashinda kesi ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lili mchamfua.

Sasa anatakiwa kulipa milioni 80

Je cyprian musiba kama watu wakizidi kukufungulia kesi mahakamani utatoboa kweli.

Au unaweza kufa kihoro tena mdomo wazi kukwepa madeni ya fidia
Watamfilisi.....
but nilitaka kuuliza walimshtaki yy mwenyewe ama gazeti lake ama vyote
 
Juzi fatume kesi yake imeshinda na ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lake ilimchafua wakili huyo msomi.

Sasa anatakiwa kulipa bilion 7
Aisee hii sijui kama mfukoni yupo vizuri au maneno mengi!

Sasa mama ana tibaijuka naye kashinda kesi ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lili mchamfua.

Sasa anatakiwa kulipa milioni 80

Je cyprian musiba kama watu wakizidi kukufungulia kesi mahakamani utatoboa kweli.

Au unaweza kufa kihoro tena mdomo wazi kukwepa madeni ya fidia
---
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, ilimuamuru Musiba kulipa Sh. milioni 80 kwa Prof. Tibaijuka baada ya kuridhika kwamba alikashfiwa na kudhalilishwa na mshitakiwa kupitia gazeti lake la Tanzanite. Nakala ya hukumu hiyo ilitolewa Julai 16, 2021.

Gazeti hilo toleo namba 30 la Oktoba 30, 2017, lililowasilishwa mahakamani kama ushahidi, liliandika “Pigo jingine kwa Prof. Tibaijuka,” likimuhusisha na kashfa kadhaa ambazo mlalamikaji alisema ni za uongo na kuthibitishwa na mahakama, hivyo kamuamuru mshitakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni 80.

Gazeti hilo lilimhusisha Prof. Tibaijuka na madai mengine ya kampuni ya bima ya Milembe, inayomilikiwa na mtoto wake, Muganyizi Karumuna Tibaijuka – kwamba ilishindwa kumlipa fidia mmoja wa wateja wake wa madai ya bima, tuhuma ambazo mahakama ilithibitisha kuwa ni uongo.

View attachment 1891007
Safi Sana...aliwahi kuandika kuwa mbowe anaumwa corona amekufa magufuli aliwapa jeuri sasa atajaza mwenyewe yaani lazima wakina kinana na membe wampeleke jela akanyee debe
 
Back
Top Bottom