Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Profesa Anna Tibaijuka kiasi cha Tzs milioni 80

Juzi fatume kesi yake imeshinda na ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lake ilimchafua wakili huyo msomi.

Sasa anatakiwa kulipa bilion 7
Aisee hii sijui kama mfukoni yupo vizuri au maneno mengi!

Sasa mama ana tibaijuka naye kashinda kesi ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lili mchamfua.

Sasa anatakiwa kulipa milioni 80

Je cyprian musiba kama watu wakizidi kukufungulia kesi mahakamani utatoboa kweli.

Au unaweza kufa kihoro tena mdomo wazi kukwepa madeni ya fidia
---
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, ilimuamuru Musiba kulipa Sh. milioni 80 kwa Prof. Tibaijuka baada ya kuridhika kwamba alikashfiwa na kudhalilishwa na mshitakiwa kupitia gazeti lake la Tanzanite. Nakala ya hukumu hiyo ilitolewa Julai 16, 2021.

Gazeti hilo toleo namba 30 la Oktoba 30, 2017, lililowasilishwa mahakamani kama ushahidi, liliandika “Pigo jingine kwa Prof. Tibaijuka,” likimuhusisha na kashfa kadhaa ambazo mlalamikaji alisema ni za uongo na kuthibitishwa na mahakama, hivyo kamuamuru mshitakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni 80.

Gazeti hilo lilimhusisha Prof. Tibaijuka na madai mengine ya kampuni ya bima ya Milembe, inayomilikiwa na mtoto wake, Muganyizi Karumuna Tibaijuka – kwamba ilishindwa kumlipa fidia mmoja wa wateja wake wa madai ya bima, tuhuma ambazo mahakama ilithibitisha kuwa ni uongo.

View attachment 1891007
Huyu jamaa wafilisi hadi sperms zake

uzao wowote wa huyu dengerua iishe kabisa

hatujawahi kupata nuksi mbaya kama hii katika historia ya Tanzania
 
Juzi fatume kesi yake imeshinda na ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lake ilimchafua wakili huyo msomi.

Sasa anatakiwa kulipa bilion 7
Aisee hii sijui kama mfukoni yupo vizuri au maneno mengi!

Sasa mama ana tibaijuka naye kashinda kesi ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lili mchamfua.

Sasa anatakiwa kulipa milioni 80

Je cyprian musiba kama watu wakizidi kukufungulia kesi mahakamani utatoboa kweli.

Au unaweza kufa kihoro tena mdomo wazi kukwepa madeni ya fidia
---
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, ilimuamuru Musiba kulipa Sh. milioni 80 kwa Prof. Tibaijuka baada ya kuridhika kwamba alikashfiwa na kudhalilishwa na mshitakiwa kupitia gazeti lake la Tanzanite. Nakala ya hukumu hiyo ilitolewa Julai 16, 2021.

Gazeti hilo toleo namba 30 la Oktoba 30, 2017, lililowasilishwa mahakamani kama ushahidi, liliandika “Pigo jingine kwa Prof. Tibaijuka,” likimuhusisha na kashfa kadhaa ambazo mlalamikaji alisema ni za uongo na kuthibitishwa na mahakama, hivyo kamuamuru mshitakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni 80.

Gazeti hilo lilimhusisha Prof. Tibaijuka na madai mengine ya kampuni ya bima ya Milembe, inayomilikiwa na mtoto wake, Muganyizi Karumuna Tibaijuka – kwamba ilishindwa kumlipa fidia mmoja wa wateja wake wa madai ya bima, tuhuma ambazo mahakama ilithibitisha kuwa ni uongo.

View attachment 1891007
Cyprian Musibanga atatamani aote mbususu mwili mzima, aweze kuwahudumia wateja mia kwa dakika apate hela ya kulipia madeni
 
Hii ndiyo namna ya kwenda kistaarabu siyo kuandamna kama CHADEMA
 
MMsi

Gazeti hilo lilimhusisha Prof. Tibaijuka na madai mengine ya kampuni ya bima ya Milembe, inayomilikiwa na mtoto wake, Muganyizi Karumuna Tibaijuka – kwamba ilishindwa kumlipa fidia mmoja wa wateja wake wa madai ya bima, tuhuma ambazo mahakama ilithibitisha kuwa ni uongo

Juzi fatume kesi yake imeshinda na ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lake ilimchafua wakili huyo msomi.

Sasa anatakiwa kulipa bilion 7
Aisee hii sijui kama mfukoni yupo vizuri au maneno mengi!

Sasa mama ana tibaijuka naye kashinda kesi ambayo cyprian musiba kupitia gazeti lili mchamfua.

Sasa anatakiwa kulipa milioni 80

Je cyprian musiba kama watu wakizidi kukufungulia kesi mahakamani utatoboa kweli.

Au unaweza kufa kihoro tena mdomo wazi kukwepa madeni ya fidia
---
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, ilimuamuru Musiba kulipa Sh. milioni 80 kwa Prof. Tibaijuka baada ya kuridhika kwamba alikashfiwa na kudhalilishwa na mshitakiwa kupitia gazeti lake la Tanzanite. Nakala ya hukumu hiyo ilitolewa Julai 16, 2021.

Gazeti hilo toleo namba 30 la Oktoba 30, 2017, lililowasilishwa mahakamani kama ushahidi, liliandika “Pigo jingine kwa Prof. Tibaijuka,” likimuhusisha na kashfa kadhaa ambazo mlalamikaji alisema ni za uongo na kuthibitishwa na mahakama, hivyo kamuamuru mshitakiwa kulipa fidia ya Sh. milioni 80.

Gazeti hilo lilimhusisha Prof. Tibaijuka na madai mengine ya kampuni ya bima ya Milembe, inayomilikiwa na mtoto wake, Muganyizi Karumuna Tibaijuka – kwamba ilishindwa kumlipa fidia mmoja wa wateja wake wa madai ya bima, tuhuma ambazo mahakama ilithibitisha kuwa ni uongo.

View attachment 1891007
Jeshi la polisi la polisi Tanzania, wekeni tahadhari

Cyprian Musiba Kuna uwezekano akajirusha bahari wakati wowote kuanzia Sasa.​

Back
Top Bottom