Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,230
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekeza juhudi zake katika kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi, kama vile umaskini na mfumuko wa bei, badala ya kuendelea kusisitiza ajenda ya kuzuia uchaguzi, ambayo anaamini haitaweza kufanikiwa.
Musiba ametoa kauli hiyo leo, Machi 22, 2025, wakati akitoa maoni yake kuhusu hali ya siasa za upinzani nchini, pamoja na matarajio yake kuhusu msimamo wa Chadema wa "No Reform, No Election."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"hiyo ajenda yao haiwezi kufanikiwa, mimi kwa ushauri wangu labda wangeweza kujikita kwenye kusaidia wananchi kwenye mambo labda mfumko wa bei.waishauri serikali iweze kupambana na kuhangaika kwa kila hali waweze kushusha bei za vitu (bidhaa). kwa sababu watanzania wana matatizo mengi sana, umaskini bado upo hatuwezi kusema haupo, wangejaribu kuishauri serikali iweze kuangalia namna ambavyo inaweza ikapunguza umaskini" amesema Musiba