Unamzungumzia Willy Gamba au.....?!!Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba.....??? Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu?? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma????
kasema kuwa chadema wanatumiwa na FBI kuharibu nchiUmeleta habari kana kwamba kila mtu anajua kinachoendelea eeh huyo musiba kafanyaje
Ameitisha press conference na kutaka vikosi vya usalama viwashughulikie bila huruma Mange Lissu,Mbowe,Maria Sarungi,Zitto na wengine WANNE kwa madai ya kuhatarisha usalama wa nchi na kutumiwa na CIA na FBIUmeleta habari kana kwamba kila mtu anajua kinachoendelea eeh huyo musiba kafanyaje
Hamna ukosoaji wa maana ila ni pale mdaiwa wa haki. Anapo taka wadai wa haki waje hivi mara vile mara fanyeni hiki mara kile hamjafanya.Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM