Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
Ndio ucelebrity huo, lazima ukubali haya yote mwaya. Cha umuhimu chagua mazuri ondoka nayo, mabaya yaache, fanya kazi kwa bidii, heshimu watu wote, mtangulize Mungu kwenye kila jambo utafanikiwa.
Kumbuka ukifanikiwa utasemwa na ukilost utasemwa pia, iwe kwa uzuri au ubaya. Get ready.
Mama i know what you are saying...but someother people just meant to hate it for no reason..i wouldn't dare kumsema mtu na qualification yake..siyo wote tutakuwa the same.